MWALIMU DARAJA LA III B - SOMO LA (FOOD PRODUCTION)(RE-ADVERTISED) - 14 POST

Posted 1 month ago - By Jobs in Tanzania - Over 7 Potential Applicants

MDAs & LGAs

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i. Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango

wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa;

ii. Kutengeneza na Kufaragua zana za kufundishia na kujifunzia;

iii. Kufundisha, kufanya Tathimini na kutunza kumbukumbu za Maendeleo ya

Wanafunzi;

iv. Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani;

v. Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa ushauri

nasaha na unasihi;

vi. Kutoa ushauri wa kitaalamu na kitaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu;

vii. Kusimamia na utunzaji wa vifaa na mali za shule; na

viii. Kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Kuajiriwa mwenye cheti cha mafunzo ya Stashahada ya Ualimu yenye somo la kufundishia la Uzlishaji chakula (Food production/  Culinary Arts) kutoka Vyuo vya Ualimu vinavyotambulika na Serikali.

AU Wenye Stashahada isiyo ya Ualimu katika fani ya Huduma ya Chakula, vinywaji na mauzo (Food production/  Culinary Arts). Waombaji ambao hawana somo la UALIMU ni lazima wawe tayari kupata mafunzo ya UALIMU baada ya kuajiriwa

APPLICATION TIMELINE: 2025-02-10 2025-02-20

.

APPLY NOW

Apply Before: 21 February 2025
Apply Now