POST: AFISA KUMBUKUMBU DARAJA II - 10 POST

Posted 1 day ago - By Sekretariat ya Ajira (PSRS) Utumishi - Over 3 Potential Applicants

POST: AFISA KUMBUKUMBU DARAJA II - 10 POST

EMPLOYER: MDAs & LGAs

APPLICATION TIMELINE:: 2025-06-05 2025-06-14

JOB SUMMARY: NA

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

  •  i.    Kudhibiti mifumo ya kumbukumbu, Kutunza na kusimamia matumizi ya kumbukumbu za Wizara, Idara zinazojitegemea, Vituo vya kutunzia kumbukumbu, Mikoa, Manispaa, Halmashauri za Wilaya, Nyaraka za Taifa na Mashirika ya Umma kulingana na mahali alipo
  •     Kutambua na kutafuta kumbukumbu katika Masjala za Wizara, Mikoa, Idara Zinazojitegemea, Manispaa, Halmashauri za Wilaya na Vituo vya kuhifadhia Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa
  •  iii.    Kudhibiti mfumo wa kumbukumbu zinazozalishwa na kompyuta, kutunza na kusimamia matumizi yake katika Wizara, Idara zinazojitegemea, Asasi na Serikali za Mitaa kulingana na mahali alipo
  • naiv.    Kazi nyingine atakazopangiwa na Msimamizi wake wa kazi.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

 Kuajiriwa wenye Shahada ya kwanza katika fani ya Utunzaji na Uhifadhi wa Kumbukumbu (Records management and Archives) na nyingine zinazolingana nayo kutoka katika Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali. Awe na ujuzi wa kutumia kompyuta.

REMUNERATION: TGS.D

Apply Now

Apply Before: 15 June 2025
Apply Now