POST: DEREVA DARAJA II - 1 POST
EMPLOYER: Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti,
APPLICATION TIMELINE:: 2024-12-23 2025-01-01
JOB SUMMARY: NIL
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
- Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari
- Kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi
- Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari
- Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali
- Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari
- Kufanya usafi wa gari
- na Kufanya kazi nyingine kadri atakavyoelekezwa na Msimamizi wake.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Mwombaji awe na Cheti cha Kidato cha Nne (Form IV) na Leseni ya Daraja E au C ya uendeshaji magari ambayo amefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja bila kusababisha ajali. Awe amehudhuria mafunzo ya msingi ya Ufundi Stadi (VETA) au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION: TGS B