POST: DEREVA VIVUKO DARAJA LA II - 2 POST
EMPLOYER: Halmashauri ya Wilaya ya Muleba
APPLICATION TIMELINE:: 2025-05-20 2025-06-03
JOB SUMMARY: NIL
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
- Kufunga na kufungua kamba za mashua/kivuko
- Kuchunga usalama wa abiria na magari yaliyomo ndani ya mashua/vivuko
- Kupanga abiria au magari kwenye mashua/vivuko
- Kuendesha na kuongoza mashua/vivuko
- Kutunza daftari za safari ya mashua/vivuko vi.Kuhakikisha kwamba injini za vivuko zipo katika hali nzuri ya kufanya kazi
- na vii.Kuangalia mafuta na vyombo vingine vya kufanyia kazi.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Kuajiriwa Waliohitimu Mtihani wa Kidato cha Nne, wenye ujunzi wa kuendesha na kutunza mashua/vivuko uliothibitishwa na Chuo cha Dar es salaam Marine Institute au Chuo kingine chochote kinachotambuliwa na Serikali kwa muda usiopungua miaka miwili; na waliofuzu mafunzo ya miezi sita ya uokoaji wa maisha majini, kuogelea na kupanga watu na magari kwenye mashua/vivuko.
REMUNERATION: TGOS A