POST: FUNDI SANIFU UJENZI II (TECHNICIAN CIVIL II) - 33 POST

Posted 2 days ago - By Sekretariat ya Ajira (PSRS) Utumishi - Over 4 Potential Applicants

POST: FUNDI SANIFU UJENZI II (TECHNICIAN CIVIL II) - 33 POST

EMPLOYER: Wizara ya Afya

APPLICATION TIMELINE:: 2025-03-06 2025-03-19

JOB SUMMARY: N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

  • FUNDI SANIFU UJENZI II (TECHNICIAN CIVIL II)    i.Kufanya kazi za ujenzi wa kuta za nyumba na kupaka rangi na kufunga mabomba
  •   ii.Kuchonga vifaa vya nyumba za serikali ikiwa ni pamoja na samani “furniture”
  •   iii.Kufanya kazi za upimaji (survey) wa barabara, majengo na mifereji kama atakavyoelekezwa
  •   iv.Kuwapangia kazi Mafundi sanifu wasaidizi na kuhakikisha wanamaliza kama ilivyopangwa.     i.Kufanya kazi za ujenzi wa kuta za nyumba na kupaka rangi na kufunga mabomba
  •   ii.Kuchonga vifaa vya nyumba za serikali ikiwa ni pamoja na samani “furniture”
  •   iii.Kufanya kazi za upimaji (survey) wa barabara, majengo na mifereji kama atakavyoelekezwa
  •   iv.Kuwapangia kazi Mafundi sanifu wasaidizi na kuhakikisha wanamaliza kama ilivyopangwa.  

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

i.Waliohitimu kidato cha VI na kufuzu mafunzo ya ufundi ya miaka miwili kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali katika fani za fundi ujenzi; ii.Waliohitimu kidato cha IV na kufuzu kozi ya ufundi ya miaka mitatu kutoka Vyuo vya Ufundi vinavyotambuliwa na Serikali katika fani za fundi ujenzi; iii.Wenye Stashahada ya Kawaida katika fani za fundi ujenzi kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali  

REMUNERATION: TGS C (MOH)

Apply Now

Apply Before: 16 March 2025
Apply Now