POST: KATIBU SHERIA DARAJA LA II - 20 POST

Posted 7 hours ago - By Sekretariat ya Ajira (PSRS) Utumishi - Over 4 Potential Applicants

POST: KATIBU SHERIA DARAJA LA II - 20 POST

EMPLOYER: Ofisi ya Taifa ya Mashtaka (NPS)

APPLICATION TIMELINE:: 2025-05-20 2025-05-31

JOB SUMMARY: NIL

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

  •     i.        Kupokea nakala za kumbukumbu za Mahakama zinazohusu mashauri ya jinai.,    ii.        Kuweka kumbukumbu (diary) ya tarehe ya kusikiliza Mashauri, kuwasilisha hati mbalimbali mahakamani na pande (parties) zinazohusika.,   iii.        Kufuatilia hati zinazohitajika katika mashauri ya jinai.    iv       Kufungua majalada ya Kesi aliyoelekezwa na Mkuu wake wa Kazi v.            Kupitia na kuandaa orodha ya majalada ya Kesi yanayotakiwa kufunguliwa vi.           Kufanya kazi nyingine za fani yake atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Kuajiriwa Wahitimu wa kidato cha nne na sita wenye Shahada ya Sheria (Bachelor of Law) kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION: AGCS. 3

Apply Now

Apply Before: 30 May 2025
Apply Now