POST: KATIBU WA SHERIA MSAIDIZI DARAJA LA II - 20 POST
EMPLOYER: Ofisi ya Taifa ya Mashtaka (NPS)
APPLICATION TIMELINE:: 2025-05-21 2025-06-01
JOB SUMMARY: NIL
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
- Kupokea nakala za kumbukumbu za Mahakama (Court Records) kuhusu kesi za Jinai, Rufani za kesi za Jinai, Kesi za jinai zinazohitajika kusahihishwa na Mahakama Kuu na kesi za madai
- Kupokea na kuhifadhi majalada ya polisi (Police case files) na nakala za hukumu za Mahakama Kuu na Mahakama ya Rufaa
- Kuandika orodha ya kesi za kusikilizwa katika Mahakama za Wilaya, Mahakama Kuu na Mahakama ya Rufani
- Kusambaza hati za Kisheria (Legal Documents) katika Mahakama za Wilaya na Mahakama Kuu
- Kutengeneza Fahirisi (Index) za Sheria za Tanzania
- na vi. Kuhifadhi majarida ya Sheria (Law Periodicals) na Sheria zilizorekebishwa, Miswada ya Taarifa za Kawaida za Serikali. vii. Kufungua mafaili mapya ya kesi kama itakavyoelekezwa na msimamizi wake
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Kuajiriwa Wahitimu wa kidato cha nne au sita wenye Stashahada ya Sheria (Diploma) kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION: AGCS. 2