POST: MHUDUMU WA JIKONI DARAJA II - 1 POST
EMPLOYER: Halmashauri ya Wilaya ya Hai
APPLICATION TIMELINE:: 2025-06-02 2025-06-15
JOB SUMMARY: N/L
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
- Kusafisha vyombo vya kupikia ii.Kusafisha vyombo vya kulia chakula iii.Kusafisha sehemu ya kulia chakula iv.Kuwatayarishia Wapishi/Waandazi vifaa vya kazi v.Kusafisha maeneo ya kupikia
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Kuajiriwa wahitimu wa Kitado cha IV wenye cheti cha mafunzo ya Uhudumu wa Jikoni kutoka katika vyuo vinavyotambuliwa na Serikali
REMUNERATION: TGOS A1