POST: MPISHI DARAJA LA PILI II (COOK II)(RE-ADVERTISED) - 51 POST
EMPLOYER: MDAs & LGAs
APPLICATION TIMELINE:: 2025-02-10 2025-02-20
JOB SUMMARY: OK
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
- Kupika vyakula vya aina mbalimbali
- Kutayarisha orodha ya vyakula vya mlo kamili (Balanced Diet)
- Kuhakikisha vyombo vya kupikia vyakula vinakuwa safi
- naiv.Kufanya kazi nyingine atakazoagizwa na Msimamizi wa kazi.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne waliofuzu mafunzo ya cheti yasiyopungua mwaka mmoja katika fani ya “Food Production” kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION: TGS.C