POST: MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II - 5 POST

Posted 12 hours ago - By Sekretariat ya Ajira (PSRS) Utumishi - Over 5 Potential Applicants

POST: MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II - 5 POST

EMPLOYER: Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe

APPLICATION TIMELINE:: 2025-05-23 2025-06-05

JOB SUMMARY: N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

  • Kuorodhesha barua zinazoingia Masjala kwenye regista (incoming correspondence register) Kuorodhesha barua zinazotoka nje ya taasisi (outgoing correspondence register) Kusambaza majalada kwa Watendaji (action officers) Kupokea majalada  kwa Watendaji (action officers) Kupokea majalada yanayorudi masjala toka kwa Watendaji Kurudisha majalada kwenye shabaka/kabati la majalada(racks/filling cabinets) au mahali pengine yanapohifadhiwa Kufuatilia mzunguko wa majalada ndani ya Taasisi (file tracking)  

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Kuajiriwa aliyehitimu Elimu ya Kidato cha Nne (IV) au Kidato cha Sita (VI) aliyehitimu Stashahada (NTA level 6) katika fani ya Masjala kutoka Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali, mwenye ujuzi wa Kompyuta.  

REMUNERATION: TGS C.

Apply Now

Apply Before: 02 June 2025
Apply Now