POST: MTEKNOLOJIA MACHO DARAJA LA II (TECHNOLOGIST OPTOMETRIST ) - 7 POST

Posted 2 days ago - By Sekretariat ya Ajira (PSRS) Utumishi - Over 5 Potential Applicants

POST: MTEKNOLOJIA MACHO DARAJA LA II (TECHNOLOGIST OPTOMETRIST ) - 7 POST

EMPLOYER: Wizara ya Afya

APPLICATION TIMELINE:: 2025-03-06 2025-03-19

JOB SUMMARY: N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

  • Kufanya uchunguzi wa upeo wa kuona na kutibu  ii.Kurufaa wagonjwa kwenye ngazi za juu, zinazohitaji utaalamu zaidi iii.Kutoa ushauri nasaha  iv.Kutunza na kurekebisha uharibifu wa vifaa vya macho  v.Kutengeneza miwani na kurekebisha miwani aina zote  vi.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.   

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Kuajiriwa wenye Stashahada katika fani ya teknolojia ya macho kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali, ambao wamesajiliwa na Mabaraza yanayohusika.

REMUNERATION: TGHS B (MOH)

Apply Now

Apply Before: 16 March 2025
Apply Now