POST: MTENDAJI WA KIJIJI III - 1 POST
EMPLOYER: Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti,
APPLICATION TIMELINE:: 2024-12-23 2025-01-01
JOB SUMMARY: NIL
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
- Afisa Masuuli na mtendaji mkuu wa serikali ya kijiji
- Kusimamia ulinzi na usalama wa raia na mali zao, kuwa mlinzi wa amani na msimamizi wa utawala bora katika kijiji
- Kuratibu na kusimamia upangaji wa mipango ya maendeleo ya kijiji
- Katibu wa mikutano na kamati zote za Halmashauri ya kijiji
- Kutafsiri na Kusimamia Sera, Sheria na Taratibu
- Kuandaa taarifa ya utekelezaji wa kazi katika eneo lake na kuhamasisha wananchi katika kuandaa na kutekeleza mikakati ya kuondoa njaa, umaskini na kuongeza uzalishaji mali
- Kiongozi wa wakuu wa vitengo vya klitaalam katika kijiji
- Kusimamia, kukusanya na kuhifadhi kumbukumbu zote na nyaraka za kijiji
- Mwenyekiti wa kikao cha wataalam waliopo katika kijiji
- Kupokea, kusikiliza na kutatua malalamiko na migogoro ya wananchi
- Kusimamia utungaji wa Sheria Ndogo za kijiji
- na Atawajibika kwa Mtendaji Mkuu wa Kata.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Kuajiriwa mwenye Elimu ya kidato cha Nne(IV) au Sita (VI) aliyehitimu mafunzo ya Astashahada/Cheti katika moja ya fani zifuatazo: Utawala,Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Sanaa kutoka Chuo Cha Serikali za Mitaa Hombolo, Dodoma au Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION: TGS B