POST: MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II - 4 POST

Posted 4 hours ago - By Sekretariat ya Ajira (PSRS) Utumishi - Over 4 Potential Applicants

POST: MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II - 4 POST

EMPLOYER: Halmashauri ya Mji wa Handeni

APPLICATION TIMELINE:: 2025-05-17 2025-05-31

JOB SUMMARY: N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

  • Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawadia na za siri
  • Kupokea wageni na kuwasili shida zao na kuwaeleza wanapoweza kusaidiwa
  • Kutunza taarifa za kumbukumbu ya matukio, miadi, tarehe za vikao, safari za Mkuu wake na ratiba za kazi zingine
  • Kutafuta majalada na nyaraka zinazohitajika katika utekelezaji wa majukumu ya kazi
  • Kupokea majalada na kusambaza kwa Maofisa waliokatika Idara/Kitengo/Sehemu husika
  • Kukusanya, kutunza na kuyerejesha majalada na nyaraka sehemu zinazohusika
  • Kupanga dondoo na kufanya maandalizi ya vikao mablimbali
  • Kuandaa orodha ya mahitaji ya vifaa vya ofisi
  • na ix. Kufanya kazi zingine atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Kuajiriwa Wahitimu wa Kidato cha Nne (Form Four) au Kidato cha Sita (Form Six) wenye Stashahada (Diploma) ya Uhazili au cheti cha NTA level 6 ya Uhazili. Aidha, wawe amefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza maeneo 100 kwa dakika moja na kupata programu za kompyuta za ofisi kama vile: Word, Excel, Powepoint, Internet, E-mail na Publisher kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali. 

REMUNERATION: TGS.C

Apply Now

Apply Before: 27 May 2025
Apply Now