POST: WAKILI WA SERIKALI DARAJA LA II - 80 POST
EMPLOYER: Ofisi ya Taifa ya Mashtaka (NPS)
APPLICATION TIMELINE:: 2025-05-20 2025-05-31
JOB SUMMARY: NIL
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
- Kuendesha mashauri mepesi ya Jinai Kuendesha kesi nyepesi za Rufaa Mahakama Kuu. Kuandaa hati za Mashtaka, maombi na nyaraka nyingine zinazohusiana na hayo
- Kupokea na kushughulikia malalamiko dhidi ya Ofisi ya Taifa ya Mashtaka
- Kushughulikia mashahidi kabla, wakati wa kusikiliza kesi na baada ya kutoa ushahidi mahakamani
- Kufanya mapitio ya majalada toka vyombo chunguzi
- Kufanya utafiti katika uendeshaji wa kesi za jinai na Kukusanya na kuchambua takwimu za kesi za jinai na kuandaa taarifa.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha IV/VI wenye Shahada ya kwanza ya sheria kutoka vyuo vikuu vinavyotambuliwa na Serikali na waliomaliza mafunzo ya sheria kwa vitendo kutoka katika Shule ya mafunzo ya Sheria kwa vitendo kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION: AGCS. 3