Halmashauri ya Wilaya ya Same
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
1.Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari;
2.Kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi;
3.Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari;
4.Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali;
5.Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari;
6.Kufanya usafi wa gari; na
7.Kufanya kazi nyingine kadri atakavyoelekezwa na Msimamizi wake.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Mwombaji awe na Cheti cha Kidato cha Nne (Form IV) na Leseni ya Daraja E au C ya uendeshaji magari ambayo amefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja bila kusababisha ajali. Awe amehudhuria mafunzo ya msingi ya Ufundi Stadi (VETA) au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.
APPLICATION TIMELINE: 2025-05-02 2025-05-11
APPLY NOW