MWALIMU DARAJA LA III C (ELECTRONICS AND COMMUNICATION EGINEERING) - 3 POST

Posted 1 month ago - By Jobs in Tanzania - Over 15 Potential Applicants

MDAs & LGAs

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i. Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa;

ii. Kutengeneza na Kufaragua zana za kufundishia na kujifunzia;

iii. Kufundisha, kufanya Tathimini na kutunza kumbukumbu za Maendeleo ya wanafunzi;

iv. Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani;

v. Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa ushauri nasaha na unasihi;

vi. Kutoa ushauri wa kitaalamu na kitaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu;

vii. Kusimamia na utunzaji wa vifaa na mali za shule; na

viii. Kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Kuajiriwa mwenye Shahada ya Elimu (Bachelor with Education) au Shahada ya Ualimu(BachelorofEducation)yenyelaSomola “Electronics and Communication Engineering” kutoka katika vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.

AUShahadaisiyo yaUalimu/Elimu yenyesomo la kufundishia laSomo la “Electronics and Communication Engineering”.Pamojana Stashahada ya Uzamiliya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) kutoka Vyuo vya Elimu ya Juu vinavyotambulika na Serikali.

AU Wenye Shahada isiyo ya Ualimu katika fani ya somo la kufundishia la Somo la “Electronics and Communication Engineering”. Waombajiambaohawanasomola UALIMUnilazimawawe tayari kupata mafunzo ya UALIMU baada ya kuajiriwa.

APPLICATION TIMELINE: 2025-02-10 2025-02-20

.

APPLY NOW

Apply Before: 21 February 2025
Apply Now