Hili hapa tangazo la nafasi za kazi AFCDC (Utumishi) Watanzania wote wenye sifa na uzoefu mnaalikwa kuomba nafasi za kazi zilizotangazwa na Kituo cha Afrika cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (AFCDC).
Nafasi Zilizopo1 | Afisa Mwandamizi wa Ufuatiliaji na Tathmini (P4) | AFCDC | Mkataba wa muda maalum | 9 Juni, 2025 |
2 | Mtaalamu Mwandamizi wa Afya ya Umma na Ujenzi wa Uwezo (P3) | AFCDC | Mkataba wa muda maalum | 27 Mei, 2025 |
3 | Afisa Fedha na Uendeshaji (P2) | AFCDC | Mkataba wa muda maalum | 22 Mei, 2025 |
Kwa maelezo zaidi kuhusu majukumu na vigezo vya kila nafasi, tembelea tovuti ya AFCDC hapa PDF hapa
- Waombaji wote wanahimizwa kuwasilisha maombi yao kupitia tovuti hiyo maalum ya ajira ya AU.
- Hakikisha unazingatia masharti yote yaliyowekwa kwa kila nafasi kama yalivyoelekezwa kwenye tangazo husika.
- Nakala ya maombi yako itumwe pia kwa anuani hii:
Katibu Mkuu,
Ofisi ya Rais – Utumishi,
Mji wa Serikali – Mtumba,
Mtaa wa Utumishi,
S.L.P 670,
DODOMA.
dhrd.tc@utumishi.go.tz
SOMA ZAIDI:-
- Walioitwa kwenye Usaili Muhimbili (MUHAS)
- Walioitwa kwenye Usaili Wakala wa Vipimo (WMA)
- Nafasi za Kazi Ofisi ya Makamu wa Rais Tanzania
- Ajira Portal 2025: Uhuishaji wa Taarifa za Wasailiwa