POST: AFISA AFYA MAZINGIRA MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT ENVIROMENTAL HEALTH OFFICER II) - 50 POST
EMPLOYER: MDAs & LGAs
APPLICATION TIMELINE:: 2025-01-07 2025-01-20
JOB SUMMARY: N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
- i. Kudhibiti na kuzuia milipuko ya magonjwa ii. Kupambana na kuzuia wadudu na wanyama wanaoeneza magonjwa. iii. Kusimamia uzikaji wa maiti zisizotambuliwa na zile zinazotokana na magonjwa ya kuambukiza iv. Kuandaa taarifa mbali mbali za Afya ya Mazingira katika ngazi ya kata na kuziwasilisha katika mamlaka husika. v. Kukusanya na kuchambua takwimu za Afya ya Mazingira, katika kata na kutoa mrejesho ili kuchukua hatua zinazostahili. vi. Kutoa elimu ya afya ya mazingira kwa jamii. vii. Kukagua mazingira katika sehemu zinapotengenezwa vyakula ili kuhakikisha usalama na afya ya jamii. viii. Kusimamia sheria za afya ya mazingira katika ngazi ya Kata pamoja na kusaidia jamii katika kutengeneza sheria ndogondogo. ix. Kuhamasisha jamii katika kuboresha vyanzo vya maji na Usafi wa Mazingira. x. Kuhamasisha jamii kuhusu utekelezaji wa Huduma za Afya ya Msingi katika ngazi ya Kata. xi. Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Kuajiriwa wenye Stashahada ya Sayansi ya Afya ya Mazingira kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali na wawe amesajiliwa na Bodi ya Wataalamu wa Afya Mazingira.
REMUNERATION: Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara y