POST: AFISA ARDHI II (LAND OFFICER II) - 10 POST
EMPLOYER: Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
APPLICATION TIMELINE:: 2024-12-07 2024-12-17
JOB SUMMARY: NIL
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
- i. Kusimamia uingizaji wa kumbukumbu katika Kompyuta. ii. Kushughulikia utayarishaji wa nyaraka za kisheria iii. Kufanya ukaguzi wa viwanja iv. Kutoa notisi na kupendekeza ubadilishaji wa milki kwa viwanja visivyoendelezwa kwa mujibu wa sheria. v. Kuwasiliana na wateja kuhusu hati zilizotayarishwa na kuwakabidhi.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Kuajiriwa wenye shahada/stashahada ya juu katika fani ya Usimamizi wa ardhi na Uthamini au shahada ya Sheria kutoka vyuo vinavotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION: TGS E