POST: AFISA MIFUMO YA TAARIFA YA JIOGRAFIA II (GEOGRAPHICAL INFORMATION SYSTEMS) - 1 POST
EMPLOYER: Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi (NLUPC)
APPLICATION TIMELINE:: 2024-12-07 2024-12-17
JOB SUMMARY: NIL
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
- i. Kuchunguza na kuandaa ramani za matumizi ya Ardhi ii. Kuchunguza, kukusanya na kutafuta maelezo ya matumizi ya ardhi kwenye ramani kwa kutumia program ya GIS. iii. Kukusanya data za kijiografia kutoka vyazo mabalimbali ikiwa ni pamoja na uchunguzi, uchunguzi wa nyanjani,picha za satelaiti,picha za angani na ramani zilizopo. iv. Kufanya majukumu mengine yoyote kama atakavyoagizwa na msimamizi
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Kuajiriwa mwenye shahada ya kwanza katika moja wapo ya fani zifuatazo, Geoinformatics, Geometrics, Urban and Regional Planning, Urban and Rural Planning, Infranstructure Planning au sifa zinazolingana na hizo kutoka vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION: NLUPSS 4/1.