POST: AFISA RAMANI II (MAPPING OFFICER II) - 8 POST

Posted 2 weeks ago - By Sekretariat ya Ajira (PSRS) Utumishi - Over 10 Potential Applicants

POST: AFISA RAMANI II (MAPPING OFFICER II) - 8 POST

EMPLOYER: Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

APPLICATION TIMELINE:: 2024-12-07 2024-12-17

JOB SUMMARY: NIL

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

  •     i.     Kuwianisha picha za anga na Ramani.  ii.     Kuweka kumbukumbu za picha na Ramani zilizowianishwa.    iii.     Kutoa huduma kwa wateja na watafiti mbalimbali

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Kuajiriwa wenye Shahada /Stashahada ya juu katika fani ya Upimaji Picha (Photogrammentry) kutoka Vyuo Vikuu au Taasisi nyingine zinazotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION: TGS E

Apply Now

Apply Before: 17 December 2024
Apply Now