POST: AFISA TEHAMA II (PROGRAMMER) - 15 POST

Posted 9 hours ago - By Sekretariat ya Ajira (PSRS) Utumishi - Over 1 Potential Applicants

POST: AFISA TEHAMA II (PROGRAMMER) - 15 POST

EMPLOYER: MDAs & LGAs

APPLICATION TIMELINE:: 2025-01-07 2025-01-20

JOB SUMMARY: NIL

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

  •   i.Kuandaa, kuandika na kufanya majaribio ya programu (Plan, code and test program)
  • Kusahihisha programu (Debug program)
  • Kuweka na kuhakikisha usalama wa programu (Incorporate security setting into program)
  • Kushirikiana na wadau wengine katika kutengeneza programu mbalimbali (Corporate with other software developers)
  • na v.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkubwa wake wa kazi zinayoendana na sifa na fani yake

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Mwombaji awe na Stashahada ya juu au Shahada ya Kompyuta katika moja ya fani zifuatazo; Sayansi ya Kompyuta, Teknolojia ya Habari, Teknolojia ya Habari na Mawasiliano na Menejimenti ya Mifumo ya Habari au mafunzo mengine yanayohusiana na fani hii, kutoka katika Vyuo au Taasisi za elimu ya juu zinazotambuliwa na Serikali

REMUNERATION: TGS E

Apply Now

Apply Before: 01 February 2025
Apply Now