POST: AFISA USAJILI MSAIDIZI II ( REGISTRATION ASSISTANT II) - 8 POST
EMPLOYER: Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
APPLICATION TIMELINE:: 2024-12-07 2024-12-17
JOB SUMMARY: NIL
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
- i. Kupokea na kuingiza kumbukumbu za hati katika kompyuta. ii. Kufungua majalada ya hati mpya. iii. Kupokea maombi na kutayarisha taarifa za uchunguzi wa hati (Search Report). iv. Kufunga hati zilizokamilika (Binding) na kuziwasilisha masjala.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Kuajiriwa wenye cheti cha Uthamini na Usimamizi wa Ardhi kutoka vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION: TGS B