POST: FUNDI SANIFU II - UPIMAJI ARDHI (LAND TECHNICIAN SURVEY II) - 26 POST
EMPLOYER: Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
APPLICATION TIMELINE:: 2024-12-07 2024-12-17
JOB SUMMARY: NIL
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
- i. upanga na kuandaa mahitaji ya kambi za upimaji vifaa vya upimajoi na mahitaji ya jumla ii. Kufanya upimaji wa awali na kusimika ardhini alama za upimaji iii. Kufanya upimaji na kukusanya taarifa na takwimu zote za upimaji iv. Kuchora “Sketch” ya mchoro ya upimaji v. Kufanya mahesabu ya upimaji
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Kuajiriwa wenye stashahada ya kawaida katika fani ya Upimaji wa ardhi kutoka vyuo vinavotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION: TGS C