POST: MHANDISI MAZINGIRA DARAJA LA II (ENVIROMENTAL ENGINEER II) - 1 POST

Posted 2 weeks ago - By Sekretariat ya Ajira (PSRS) Utumishi - Over 6 Potential Applicants

POST: MHANDISI MAZINGIRA DARAJA LA II (ENVIROMENTAL ENGINEER II) - 1 POST

EMPLOYER: MDAs & LGAs

APPLICATION TIMELINE:: 2025-03-27 2025-04-07

JOB SUMMARY: N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

  •          Kutoa ushauri wa namna ya kulinda mazingira kutokana na shughuli za Binadamu kama Kilimo, uvuvi, ufugaji nk ii.         KufanyaTathiminiyaMazingira(EnvironmentalImpactAssesment)kwamiradi inayoanzishwa hasa ya Umwagiliaji na Uwekezaji katika Kilimo. iii.          Kutoa ushauri wa namna ya kupunguza uharibifu wa Udongo utokanao na kemikali za madawa ya Kilimo, Pembejeo za Kilimo au Kemikali zingine za Viwandani zihusianazo na kilimo. iv.         Kubuni vifaa na mikakati ya kuhakikisha kuwa maji taka na uchafu utokanao na kemikali zitokazo na Kilimo haziathiri Mazingira. v.         Kubuni mikakati itakayohakikisha kuwa Binadamu anaishi katika mazingira yenye Afya na Rafiki kimazingira.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Kuajiriwa wenye Stashahada ya juu au Shahada ya Uhandisi Mazingira kutoka Vyuo Vikuu au Taasisi nyingine zinazotambuliwa na Serikali. Muombaji ni lazima awe amesajiliwa na Bodi ya Usajili Wahandisi (ERB).

REMUNERATION: TGS.E

Apply Now

Apply Before: 06 April 2025
Apply Now