POST: MHANDISI VIFAA TIBA DARAJA LA II (BIOMEDICAL ENGINEER II) - 2 POST
EMPLOYER: MDAs & LGAs
APPLICATION TIMELINE:: 2025-01-07 2025-01-20
JOB SUMMARY: N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
- Kufanya kazi za matengenezo ya vifaa tiba ngazi ya Wilaya (Electronical Equipments). ii.Kutunza kumbukumbu za kazi za ufundi na matengenezo ya vifaa tiba. iii.Kufanya matengenezo ya kinga ya vifaa tiba. iv.Kuagiza vipuli vya vifaa tiba. v.Kuandaa bajeti ya huduma za matengenezo ya vifaa tiba ngazi ya wilaya. vi.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Kuajiriwa waliohitimu wenye Shahada ya Sayansi ya Uhandisi (Vifaa Tiba) kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali na ambao wamesajiliwa na Bodi ya Wahandisi Tanzania.
REMUNERATION: TGHS D