POST: MHASIBU DARAJA LA II (ACCOUNTANT II),. - 20 POST
EMPLOYER: MDAs & LGAs
APPLICATION TIMELINE:: 2025-04-28 2025-05-11
JOB SUMMARY: NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
- i.Kuandika taarifa ya mapato na matumizi
- ii.Kuandika taarifa za maduhuli
- iii.Kupokea maduhuli ya serikali na kupeleka Benki kwa wakati
- iv.Kufanya usuluhisho wa hesabu za Benki na nyingine zinazohusiana na masuala ya fedha
- v.Kukagua hati za malipo
- na vi.Kufanya kazi nyingine za fani yake atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Sita wenye shahada ya Uhasibu au Biashara waliojiimarisha kwenye fani ya Uhasibu au Stashahada ya juu ya Uhasibu kutoka Taasisi inayotambuliwa na Serikali pamoja na cheti cha Taaaluma ya Uhasibu CPA(T) au sifa inayolingananayo inayotambuliwa na NBAA.
REMUNERATION: TGS.E