POST: NAHODHA DARAJA LA II (SKIPPER II) - 1 POST
EMPLOYER: MDAs & LGAs
APPLICATION TIMELINE:: 2025-04-28 2025-05-11
JOB SUMMARY: NIL
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
- Kubuni na kuunda zana za kuvulia samaki (Fishing Gears)
- Kutunza na kutengeneza zana za kuvulia samaki
- Kuongoza na kuendesha meli/boti ndogo za futi 40 zenye uzito wa kuandikishwa wa tani 50-200 (GRT)
- na iv.Kuendesha shughuli za uvuvi katika meli/boti.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Kuajiriwa wenye Stashahada (Diploma) ya Unahodha na Uvuvi ( Master Fisherman) kutoka Chuo cha Uvuvi Mbegani au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION: TGS.C