POST: MKUFUNZI ARDHI II – (GRAPHICS ARTS AND PRINTING ) - 2 POST

Posted 2 weeks ago - By Sekretariat ya Ajira (PSRS) Utumishi - Over 10 Potential Applicants

POST: MKUFUNZI ARDHI II – (GRAPHICS ARTS AND PRINTING ) - 2 POST

EMPLOYER: Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

APPLICATION TIMELINE:: 2024-12-07 2024-12-17

JOB SUMMARY: NIL

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

  •          Kufundisha.  ii.       Kutoa ushauri kwa wanachuo katika kazi maalum (Projects).  iii.     Kusimamia na kuongoza wanachuo katika kazi za darasani na nje.  iv.     Kutoa ushauri wa kiufundi na kitaalam.  v.      Kuendesha tafiti na ushauri.  vi.     Kuandaa taarifa za tathmini na mapedekezo ya mitaala ya masomo.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Kuajiriwa wenye Shahada/Stashahada ya juu katika fani ya Fine Arts and Design, au Fine Art and Performing Arts, wenye GPA kuanzia 3.5 na kuendelea kutoka katika vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION: TGS E

Apply Now

Apply Before: 17 December 2024
Apply Now