POST: MKUFUNZI ARDHI II â (LAND SURVEYOR ) - 1 POST
EMPLOYER: Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
APPLICATION TIMELINE:: 2024-12-07 2024-12-17
JOB SUMMARY: NIL
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
- Kufundisha. ii. Kutoa ushauri kwa wanachuo katika kazi maalum (Projects). iii. Kusimamia na kuongoza wanachuo katika kazi za darasani na nje. iv. Kutoa ushauri wa kiufundi na kitaalam. v. Kuendesha tafiti na ushauri. vi. Kuandaa taarifa za tathmini na mapedekezo ya mitaala ya masomo.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Kuajiriwa wenye Shahada/Stashahada ya juu katika fani ya Upimaji Ardhi, wenye GPA kuanzia 3.5 na kuendelea kutoka katika vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION: TGS E