POST: MSAIDIZI WA AFYA (HEALTH ASSISTANT) - 50 POST
EMPLOYER: MDAs & LGAs
APPLICATION TIMELINE:: 2025-03-27 2025-04-07
JOB SUMMARY: N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
- KuchukuaSampulizaMajinaChakulanakuzipelekakwaafisaafyamazingira au afisa afya mazingira msaidizi ii. Kutambuanakuwekakumbukumbuyavyanzovyamaji iii. Kuandaaramaniyamaeneoyenyeuchafuziwamajiilikuchukuahatua zinazotakiwa iv. Kushirikiana na kamatiza majiza vijiji, na mitaa katika kuhakikishausalama wa vyanzo vya maji v. Kuhamasishajamiikulindavyanzovyamaji vi. Kuhamasishajamiikujenganakutumiavyoobora vii. Kusaidiakuuelimishajamiikuhusutabianjemazausafi viii. Kutoataarifazamilipukoyamagonjwakwamkuuwakekazi ix. Kuhamasishajamiikubuni,kupanga,kutekelezanakusimamiamipango shirikishi jamii ya afya ya mazingira x. Kufanyaukaguziwanyumbakwanyumba xi. Kufanyaukaguziwanyumbazakuishinabiashara xii. Udhibitiwatakahatarizikiwamotakazitokanazonahudumazaafya xiii. Kusimamiasheriandogondozaafyamazingirana
- Kufanyakazinyingineatakazopangiwanamkuuwakewakazizinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne wenye cheti cha mafunzo ya Msaidizi wa Afya kutokachuokinachotambuliwanaSerikali
REMUNERATION: TGHS A