POST: MTEKNOLOJIA WA RADIOGRAFA DARAJA II - RADIOLOJIA (RADIOGRAPHY TECHNOLOGIST II â RADIOLOGY) - 35 POST
EMPLOYER: MDAs & LGAs
APPLICATION TIMELINE:: 2025-01-07 2025-01-20
JOB SUMMARY: N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
- i. Kuwapima wagonjwa wanaolekezwa kwenye eneo lake la kazi ii. Kutunza mitambo na vifaa vya Radiolojia katika eneo lake la kazi iii. Kukagua picha za X-Ray zilizopimwa kwa ubora na kutosheleza (diagnostic quality) iv. Kutunza picha za wagonjwa hadi majibu yanapowafikia madaktari waliowatuma wagonjwa v. Kusimamia watumishi walio chini yake vi. Kutoa Ushauri kuhusu masuala ya na kazi za Radiolojia na Mionzi katika eneo lake la kazi. vii. Kuandaa vifaa vya tiba/uchunguzi na kusimamia utakasaji vifaa katika eneo lake la kazi (sterilization) viii. Kutoa mafunzo ya awali kwa watumishi wanaopangiwa kazi katika eneo lake la kazi. ix. Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Kuajiriwa wenye Stashahada katika fani ya Uteknolojia wa Radiolojia kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali, ambao wamesajiliwa na Baraza la Waatalum wa Mionzi Tanzania.
REMUNERATION: TGTS-B