POST: MWALIMU DARAJA LA III C - (PHYSICAL EDUCATION) - 1 POST

Posted 3 weeks ago - By Sekretariat ya Ajira (PSRS) Utumishi - Over 8 Potential Applicants

POST: MWALIMU DARAJA LA III C - (PHYSICAL EDUCATION) - 1 POST

EMPLOYER: Mkoa wa Tabora

APPLICATION TIMELINE:: 2024-12-13 2024-12-20

JOB SUMMARY: N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

  • Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa
  • Kutengeneza na Kufaragua zana za kufundishia na kujifunzia
  • Kufundisha, kufanya Tathimini na kutunza kumbukumbu za Maendeleo ya Wanafunzi
  • Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani
  • Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa ushauri nasaha na unasihi
  • Kutoa ushauri wa kitaalamu na kitaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu
  • Kusimamia na utunzaji wa vifaa na mali za shule
  • na viii. Kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Kuajiriwa mwenye Shahada ya Elimu (Bachelor with Education) au Shahada ya Ualimu (Bachelor of Education) yenye somo la Somo la ‘’Physical Education’’ kutoka katika vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.   AU Shahada isiyo ya Ualimu/Elimu yenye somo la kufundishia la ‘’Physical Education’’. Pamoja na Stashahada ya Uzamili ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) kutoka Vyuo vya Elimu ya Juu vinavyotambulika na Serikali.   AU Wenye Shahada isiyo ya Ualimu katika fani ya ‘’Physical Education’’. Waombaji ambao hawana somo la UALIMU ni lazima wawe tayari kupata mafunzo ya UALIMU baada ya kuajiriwa.

REMUNERATION: TGTS- D

Apply Now

Apply Before: 23 December 2024
Apply Now