POST: MWALIMU DARAJA LA III C - SOMO LA UTENGENEZAJI PROGRAMU ZA TEHAMA (COMPUTER PROGRAMMING) - 1 POST
EMPLOYER: Mkoa wa Tabora
APPLICATION TIMELINE:: 2024-12-13 2024-12-20
JOB SUMMARY: N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
- Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa
- Kutengeneza na Kufaragua zana za kufundishia na kujifunzia
- Kufundisha, kufanya Tathimini na kutunza kumbukumbu za Maendeleo ya Wanafunzi
- Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani
- Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa ushauri nasaha na unasihi
- Kutoa ushauri wa kitaalamu na kitaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu
- Kusimamia na utunzaji wa vifaa na mali za shule
- na viii. Kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Kuajiriwa mwenye Shahada ya Elimu (Bachelor with Education) au Shahada ya Ualimu (Bachelor of Education) yenye la Somo la Utengenezaji Programu za Tehama (Computer Programming) kutoka katika vyuo vinavyotambuliwa na Serikali. AU Shahada isiyo ya Ualimu/Elimu yenye somo la kufundishia la Somo la Utengenezaji Programu za Tehama (Computer Programming). Pamoja na Stashahada ya Uzamili ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) kutoka Vyuo vya Elimu ya Juu vinavyotambulika na Serikali.
REMUNERATION: TGTS- D