Walioitwa kwenye Semina Tume ya Uchaguzi (INEC)

Posted 17 hours ago - By Ajira Mpya Tanzania - Over 1 Potential Applicants

Haya hapa majina ya walioitwa kwenye semina Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Moshi Vijijini na Jimbo la Vunjo anawatangazia wafuatao kwenye orodha hapa chini kuwa wameteuliwa kufanya kazi ya muda kwa nafasi ya waandikishaji wasaidizi na waendeshaji wa vifaa vya bayometriki (BVR).Wote walioteuliwa wanatakiwa kuhudhuria semina ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura kwa awamu ya pili ngazi ya Kata itakayofanyika tarehe 14/05/2025 katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Weruweru kuanzia saa 01:30 asubuhi ukiwa na kitambulisho kinachokutambulisha.

Rejea jedwali lifuatalo lenye orodha ya walioteuliwa.

Majina ya Moshi Vijijini na Jimbo la Vunjo

Soma zaidi:-

  1. Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili wa Oral na Vitendo TRA 2025
  2. Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Jeshi la Polisi 2025
Apply Before: 23 May 2025
Apply Now