POST: DOBI - (LAUNDERER) - 3 POST
EMPLOYER: MDAs & LGAs
APPLICATION TIMELINE:: 2025-01-07 2025-01-20
JOB SUMMARY: N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
- Kufanya uchambuzi wa nguo kwa ajili ya kuosha, kukausha, kunyoosha na kuzifungasha na ii. Kazi nyingine kama atakavyoelekezwa na Msimamizi wa kazi.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Kuajiriwa ni kwa waliofuzu mafunzo ya miaka miwili au mitatu katika fani ya Dobi (Laundry Services) kutoka katika vyuo vinavyotambulika na Serikali.
REMUNERATION: TGHS B