POST: MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII DARAJA LA II - 10 POST

Posted 1 day ago - By Sekretariat ya Ajira (PSRS) Utumishi - Over 2 Potential Applicants

POST: MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII DARAJA LA II - 10 POST

EMPLOYER: Halmashauri ya Wilaya ya Kyela

APPLICATION TIMELINE:: 2024-10-21 2024-11-03

JOB SUMMARY: NA

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

  • Kusaidia kubuni na kupanga mipango na miradi ya maendeleo     katika eneo lake, ii) Kusaidia uwezeshaji na upatikanaji wa mafunzo kuhusu masuala      ya maendeleo katika eneo lake iii) Kushiriki katika utekelezaji wa shughuli za maendeleo. iv) Kusaidia kutoa elimu kuhusu kazi za kujitegemea katika eneo lake, v) Kuandaa na kutoa taarifa za kazi za maendeleo ya jamii kila      mwezi kwa uongozi wa kijiji na kwa Msimamizi wake wa kazi, vi) Kusaidia kuunda vikundi vya kijamii na vya kimaendeleo. vii) Kutambua na kuwezesha kaya masikini kuinua uchumi wao kupitia       fursa na rasilimali zinazowazunguka. viii) Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Kuajiriwa mwenye Astashahada (Certificate) ya Maendeleo ya Jamii kutoka Vyuo vya Maendeleo ya Jamii au Vyuo vingine vinavyotambuliwa na Serikali katika mojawapo wa fani zifuatazo: Maendeleo ya Jamii (Community Development),Sayansi ya Jamii (Sociology, Masomo ya Maendeleo (Development Studies),Mipango na Usimamizi wa Miradi (Project Planning and Management),Jinsia na Maendeleo (Gender and Development),Rural Development, Au fani nyingine zinazofanana na Maendeleo ya Jamii.  

REMUNERATION: TGS B

Apply Now

Apply Before: 31 October 2024
Apply Now