POST: MWANDAZI DARAJA - 2 POST
EMPLOYER: Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe
APPLICATION TIMELINE:: 2024-11-14 2024-11-27
JOB SUMMARY: N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
- Kuandaa sehemu ya kulia chakula. ii. Kupamba meza ya kulia chakula iii. Kupanga vifaa vya kulia chakula na vinywaji mezani iv. Kuandaa vinywaji v. Kuondoa vyombo baada ya kula chakula
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Kuajiriwa wenye cheti cha Mtihani wa Kidato cha IV na kufuzu Mafunzo si chini ya mwaka mmoja katika fani ya Food and Bevereges kutoka kwenye vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION: TGS B