POST: TABIBU MSAIDIZI II (CLINICAL ASSISTANT II) - 141 POST

Posted 1 week ago - By Sekretariat ya Ajira (PSRS) Utumishi - Over 9 Potential Applicants

POST: TABIBU MSAIDIZI II (CLINICAL ASSISTANT II) - 141 POST

EMPLOYER: MDAs & LGAs

APPLICATION TIMELINE:: 2025-01-07 2025-01-20

JOB SUMMARY: NA

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

  • Kutoa huduma za kinga na tiba. ii. Kutambua na kutibu magonjwa. iii. Kutoa huduma ya Afya ya msingi (Primary Health Care). v.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.  

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Kuajiriwa wenye Cheti cha Mtihani wa Taifa wa Kidato cha IV ambao wamehitimu Mafunzo ya Miaka Miwili ya Tabibu Wasaidizi (Clinical Assistants Certificate).  

REMUNERATION: TGHS A,

Apply Now

Apply Before: 17 January 2025
Apply Now