POST: MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II - 2 POST
EMPLOYER: Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa
APPLICATION TIMELINE:: 2024-12-05 2024-12-18
JOB SUMMARY: N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
- Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawadia na za siri
- Kupokea wageni na kuwasili shida zao na kuwaeleza wanapoweza kusaidiwa
- Kutunza taarifa za kumbukumbu ya matukio, miadi, tarehe za vikao, safari za Mkuu wake na ratiba za kazi zingine
- Kutafuta majalada na nyaraka zinazohitajika katika utekelezaji wa majukumu ya kazi
- Kupokea majalada na kusambaza kwa Maofisa waliokatika Idara/Kitengo/Sehemu husika
- Kukusanya, kutunza na kuyerejesha majalada na nyaraka sehemu zinazohusika
- Kupanga dondoo na kufanya maandalizi ya vikao mablimbali
- Kuandaa orodha ya mahitaji ya vifaa vya ofisi
- na ix. Kufanya kazi zingine atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Kuajiriwa Wahitimu wa Kidato cha Nne (Form Four) au Kidato cha Sita (Form Six) wenye Stashahada (Diploma) ya Uhazili au cheti cha NTA level 6 ya Uhazili. Aidha, wawe amefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza maeneo 100 kwa dakika moja na kupata programu za kompyuta za ofisi kama vile: Word, Excel, Powepoint, Internet, E-mail na Publisher kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION: TGS.C